Ukitongoza Mwanamke Mrembo Usithubutu Kumwambia Unafanya Kazi Hizi, Atakukataa Mchana Kweupe - RAHA ZA KITANDANI

Ukitongoza Mwanamke Mrembo Usithubutu Kumwambia Unafanya Kazi Hizi, Atakukataa Mchana Kweupe

 1.Ualimu
                                2.Askari magereza3.Fundi ujenzi
          4.Kondakta/utingo
5.Mgambo
6.Mlinzi

Ila ukisema unafanya kazi maeneo haya, utakubaliwa asubuhi na mapema
1.Migodini
2.Siasa
3.Ikulu
4.Bandarini
5.Viwanja vya ndege
6.Bank
7.Mahospitalini.
6.Ubalozini.

Je wadau hii ni kweli?