Hii Hapa Tofauti Ya Mke Na Mchepuko Katika Mahusiano. - RAHA ZA KITANDANI

Hii Hapa Tofauti Ya Mke Na Mchepuko Katika Mahusiano.


Kuna kitu wanawake hawajui men are also sensitive to criticisms, we have ego issues.
Mwanamke anaweza ongea kauli moja simple simple tu kwa mumewe akahisi ni kitu simple na mwanaume hawezi chukia lakini in reality tunachukiaga ila jinsia yetu inatukataza ku mind vitu vidogo vidogo hiyvo kwa nje tuna pretend all is well ila moyoni tunawaza wapi tutapata mwanamke ambaye hatalopoka maneno ya dharau au comment za kukashifu.
Nadhani hii ni sababu kubwa wanaume wengi hawashindi na wake zao nyumbani au hawana hisia na wake zao.
Ukitoa sifa kwa mwanamke mwingine, mkeo atamind pale pale, Wakati ukitoa sifa kwa mwanaume mwingine, mumeo anaweza kuonyesha hajamind kabisa lakini moyoni ujue umemkwaza tena inaweza isiwe kidogo kama ni week end utashangaa ametoka kurudi .
Hapo Stress sasa ndo tunaenda kutolea kwa mchepuko , wao huwa nikukusifia mwanzo mwisho na kupeti peti tu hakuna cha zaidi