👉😁 AHii mitoto mingine mijinga, cheki alichokifanya huyu😂👇✔ - RAHA ZA KITANDANI

👉😁 AHii mitoto mingine mijinga, cheki alichokifanya huyu😂👇✔

Image result for WADADA INAWAHUSU FAHAMU MAMBO AMBAYO MWANAUME HUYUFANYA KUMJARIBU MSICHANA KAMA ANAFAA KUWA MKE WAKE



Nimeamka asubuhi nikiwa na elfu 1 tu mfukoni, nikamtuma mtoto wa jirani akaninunulie maandazi nipate kunywa chai. Baada ya muda namuona anarudi huku analamba askrimu ya AZAM kama Simba vile. Nikamuuliza maandazi yako wapi? Akanijibu eti wakati anafika yanapouzwa maandazi akagundua kuwa kapoteza hela yangu, hivyo akaanza kurudi, ila bahati nzuri wakati anarudi ili kuja kunitaarifu kuhusu kupotea kwa hela yangu, njiani akaokota elfu 1 ambayo kuna mtu alipoteza ndio akaamua kununua askrimu….kwa sasa niko polisi na mtoto yuko dispensari na mamake😀😀😀😀😀😀😀

😁😁😁😂😂😂

🙉🙉🙉Usisahau kushare kichekesho hiki.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wacheke😁😁😁💯✔