JE WAJUA DAWA ZA MENO HUPUNGUZA UWEZO WA KUZAA?? SOMA HAPA
July 01, 2019
Edit
katika dunia hii ya viwanda na biashara kuna mambo mengi tunayatumia kwenye miili yetu kama mafuta ya kujipaka, mafuta ya kula,perfum, bodspray, vyakula na kadhalika ambavyo vinatuathiri sana kiafya na kusababisha vifo vingi duniani. hivi majuzi marekani wametengeneza mahindi ya kupunguza uwezo wa kuzaa na wana mpango wa kuyaleta africa kama msaada wakati tatizo la kutozaa limeshakua kubwa huku africa. leo ntaongelea dawa za meno tunazotumia kila siku ili niionyeshe dunia madhara yake kwani pamoja na madhara makubwa ya kiafya yatokanayo na dawa hizo za meno hakuna anayeweza kupaza sauti kwani ataua bishara za watu. dawa zote za meno zimechanganywa na kitu kinaitwa floride isipokua dawa moja tu ya forever toothpaste ndio imewekewa vitu asili tu bila kemikali hizi.
flouride ina madhara yafuatayo;
flouride ina madhara yafuatayo;
- husababisha cancer za aina mbalimbali.
- huharibu ubongo kwa mtoto ambaye yuko tumboni.
- hupunguza homoni za uzazi
- huleta matatizo ya jointi za mifupa.
- hupunguza uelewa wa watoto darasani.
- husababisha kusahau sana.
- hupunguza kinga ya mwili
- inapunguza uwezo wa kuzaa kwa mwanaume na mwanamke.
- hupunguza urefu wa maisha.
- husababisha figo kushindwa kazi
- inaua seli za ubongo.
- inapunguza uzalishaji wa damu.
- inaharibu kuta za tumbo la chakula.
- huweza kusababisha ugonjwa wa akili.
- inaharibu fidhi za meno.