Kwa nini unakosa raha na kuwa depressed baada tu ya kumaliza kwichikwichi? - RAHA ZA KITANDANI

Kwa nini unakosa raha na kuwa depressed baada tu ya kumaliza kwichikwichi?




Mmecheza mechi nzuri lakini ikiisha tu unaanza kijisikia depression.

Japo hii imetajwa kuwatokea wanawake zaidi ya wanaume, lakini inakadiriwa asilimia 10 ya wanawake wanakabiliwa na hili tatizo.
Dr Mary Jo Rapini anasema kupitia #Menshealth kwamba bado hakuna sababu ya kitaalamu ya kuelezea tatizo hili, zaidi ya kusema inaweza kuwa ni shida iliyoko kati ya wapenzi hao.
Pengine ni kutokana na jinsi mwanaume anavyo mtreat mwanamke mbele za watu au mahala pengine, na pia inaweza kua inachangiwa zaidi na kutoridhishwa kwa mwanamke.

Solution?

Hali kama hii ikitokea mara nyingi unaweza kushauriwa kutumia vidonge vya antidepresants, japokuwa dawa hizi zina madhara makubwa (side effects)na inaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume na kike.