Be ware! Guys in Nairobi, usikubali kusexisha nyumbani kwa dame usiyemjua. Ni mtego - RAHA ZA KITANDANI

Be ware! Guys in Nairobi, usikubali kusexisha nyumbani kwa dame usiyemjua. Ni mtego



So vijana wenzangu wa Nairobi na mnaotembelea Nairobi, kuna stori kubwa imetokea Nairobi baada ya naibu governor wa Kirinyaga kufumaniwa.

Hope umeiona video yake tayari. That is not a story anymore.

So habari za kuaminika ni kwamba, huenda alifanyiwa mtego ili alipe pesa.

Kuna malaya wanaingiza box watu wenye hela na kuwapeleka kwenye apartments zao. Utadanganywa na kuambiwa jisikie niko nyumbani this is my house, sina bwana na maneno mengine (run brother ruun)
Muda sio mrefu ukishavua kila kitu vijana wa kazi wataingia na kukufanya chochote watakacho.
Wakiwa na Camera mkononi watakulazimisha utoe mamilioni ya Shilingi ili wasikuaibishe kwa kuachia video yako online.
Inasemekana kwamba vigogo wakubwa wameshalipa na kuachiwa, lakini huyu naibu gavana inawezekana aligoma kutoa pesa.
Peter Ndambiri amefumaniwa wiki iliyopita akiwa faragha anakula tunda na mrembo anatajwa kuwa mke wa mtu.

Ndambiri amesema kwamba wanaume walimfuma walidai shillingi milioni 5 ili wasitoe habari hii pamoja na Video.