Dalili za mwanaume asiyekuwa na mapenzi ya kweli By meza ya mapenzi September 30, 2019 Edit Read MoreHAIPENDEZI UKIWA UNANUKA JASHO HASWA KWENYE MARAHA....Mpenzi wa zamani anaweza kukutibulia penzi lako la sasa*Tiba: Vyakula vya Nguvu za Kiume 1. Anaahadi nyingi hazitekelezeki muongo.2. Msiri hapendi kuweka mambo yake wazi. 3. Anakutafuta akiwa na pesa kwaajili ya starehe, akiwa hana hakutafuti kabisa.4. Hajali matatizo yako.5. Mawasiliano sio mazuri, hana tabia yakukujulia hali mara kwa mara.6. Hutishia kuachana mara kwa mara.7. Hana mipango wala malengo yeyote kuhusu maisha yenu ya badaye.8. Anapenda starehe na kujirusha na wewe akiwa na mashiko.9. Hakutambulishi kwa ndugu zake wa karibu, na anaweza asikupeleke hata anapoishi.10.Haonyeshi hisia zake kwako mbele za watu.11.Anakutafuta akiwa na shida zake akimaliza wasalimie kigoma.12.Mbinafsi anajifikiria yeye tu. Share this post Related Posts ACHA KUTESEKA KWA AJIRI YA MAPENZI Kosa Kubwa Ni Kumuoa Huyu Mwanamke Tabia Nne za Mpenzi Asiyekuwa na Penzi la Kweli. SABABU 5 KWANINI UPENDO HAUTOSHI KUJENGA MAHUSIANO BORA!