Nimebeba zigo ambalo sikujua hii ndio hatima yake..Kila Ninae Mfanyia Jema Anataka Kunilipa kwa Penzi - RAHA ZA KITANDANI

Nimebeba zigo ambalo sikujua hii ndio hatima yake..Kila Ninae Mfanyia Jema Anataka Kunilipa kwa Penzi

Nina mchumba wangu anasoma chuo kikuu fulani hapa mjini, nimekuwa mshaurimzuri sana katika mswala yake mbali mbali, kwa kiasi kikubwa nimekuwa nikimudu hili jukumu mambo mengi niliomshauri amefanikiwa.Kama kawaida ya akinadada sijui ni wote au badhi lakini wengi huwa wanakatabia haka kusifia mpenzi kwa mashoga, hapo ndo kizaa zaa kilipo anzia. Baada ya kunifisia kwa mwezake mimi ni mzuri kwenye maswala 


ya ushauri.Basi kama ilivyo kawaida kila mazingira yana changamoto zake, hapo ndio uwezo wa mtu huwa unaonekana jinsi anavyo weza kukabiliana na matatizo,,kwenye hili wenzetu huwa linawapa shida kiasi fulani wanayokumbana nayo nimengi.Masimulizi ya mchumba wangu yaliwafanya kuwa na hamasa ya kutaka kunijua na kupata mawasiliano yangu, ilitokea siku moja rafiki wa mchumba wangu akawa na tatizo fulani akamuomba anihusishe na mimi iliniweze kumpa ushauri, bila hiana nilishiriki tukafanikiwa 

katika hilo.Sifa ikazidi kuenea kwa wengine ambao hawakunifahamu, nikawa nawashauri kimasomo na maisha mengine ya kichuo.Wengi wao walivutiwa na kazi yangu ya ushauri, mambo yao mengi wakawa wananihusisha na mimi bila kusita kiwa nawasaidia, hayo yote yalikuwa yakifanyika kwa njia ya simu, nilijizuia kujenga mazingira ya kuonana nao sababu nilijua vishawishi ni vingi na mganga hajigangi.Matokeo ya hayo yote yamegeuka kuwa zigo mchezo sasa umebadirika, ili shem haizingatiwi majina ninayopewa ni yanaleta vishawishi ya kuchepuka kama hauna uvumilivu, maana wanajenga mazingira ya kuninasa kila mmoja kwa wakati wake pasipo kujua, kwenye hili hawatanipata sioni sababu ya kumsaliti mpenzi wangu na sitaki ajue nitazua chukikati yao.Jamani hivi malipo ya kutenda jambo jema kwa mtoto wakike lazima akulipe mapenzi ndo aridhike?Sio mara ya kwanza kusikia haya 

mambo kwamba mara nyingi mtoto wa kike ili aridhike unapomtendea jambo la kumfura hisha anajisikia faraja akikulipa kwa mapenzi. (Nisipigwe jiwe nasikia sikia na mimi ni tetesi sijui kama ni kweli)Ila nashukuru mizinga hawajanipiga maana kwenye hili nalo nasikia hawajambo.