Msambwanda ni Furaha ya Macho tu...Ukitaka Kuenjoy Jaribu Viuno Dondola aka Vimodo - RAHA ZA KITANDANI

Msambwanda ni Furaha ya Macho tu...Ukitaka Kuenjoy Jaribu Viuno Dondola aka Vimodo

Siku hizi kumeibuka vijana wengi kupenda misambwanda na hii imepelekea wadada wengi kutumia madawa ya kichina kuongeza makalio na wengine kupelekea kufanyiwa upasuaji.

Wanawake wanabadilika kutokana na mahitaji ya wanaume wanachovutiwa nacho kuendana na wakati ili na wao wasiwe wanakosa mtu anayewavutia.

Nikiri wazi kabisa, misambwanda inapagawisha unapokutana nayo, usipokua makini waweza kuacha njia au ukagongwa na vyombo vya moto. Lakini, unapohitaji kufaidi hivi viumbe, misambwanda sio dili.


Hivi viuno vya dondora hivi ndiko tunakoacha maisha na uhondo wenyewe, walah! Kiuno cha dondora kina mambo mengi mno.

Walah! Kiuno cha dondora utake style gani usipewe, uende goli ngapi usipewe.

Nilikua muumini mkubwa wa msambwanda, lakini nimegundua naibiwa, nahamia mtaa wa saba.



kisuu.webp