MEN: Sio kibamia tu, hata account ya benki inaweza kuzuia mwanamke asifike kileleni. - RAHA ZA KITANDANI

MEN: Sio kibamia tu, hata account ya benki inaweza kuzuia mwanamke asifike kileleni.


Kumfikisha mwanamke kwenye big O, au kileleni wakati wa kufanya sex ni muhimu sana. Kati ya asilimia 20-25 ya wanawake hawajawahi kufika kileleni. Japokuwa mwanamke sio lazima afikie kileleni kufurahia mchezo, ukweli ni kwamba mwanamke ukimfikisha kileleni utakua shujaa wake. LOL
Lakini pia, sio kila mwanamke anafikishwa kileleni kwa urahisi kama ambavyo baadhi ya wanaume hudhani. Na kuna baadhi ya wanawake ambao hawawezi kabisa kufika kileleni hata ujipindue na mbinu za katerero au kaniriro.
Hili ni tatizo na wataalam wanaita “Orgasmic disorder”.
Sasa unajiuliza, ni kwa nini wanawake hawa hawawezi kufika kileleni? Sababu zake hizi hapa chini kwa ufupi.
Mwanamke anatakiwa kuwa huru.
Kufika kileleni kwa mwanamke kunahitaji combination ya vitu kibao. Concentration, comfort zone, psychological, physical, mental, even account ya benki inaweza kusababisha mrembo afike au asifike.
Saikolojia
Kutokana na historia ya maisha au mazingira ya mtu anayoishi, mwanamke anaweza akawa na psychological pressures ambazo zinamzuia kufikia kileleni.
Katika eneo la saikolojia kuna vitu vingi sana vinavyochangia, jiangalie au umuangalie mrembo uliye nae, huenda akawa na shida ya kifamilia, au sexual abuse kutoka miaka ya nyuma au tatizo ambalo linamfanya ashindwe kuwa huru kwa kiasi cha kukojoa wakati wa tendo (not literally).
Kimaumbile
Suala la maumbile lina sehemu mbili, wanaume wengi hufikiria zaidi ukubwa au udogo wa tango, lakini pia maeneo sentistive ya mrembo wako ambayo ukiyatembelea vizuri utamfanya apige bao fasta.
Lakini suala la maumbile ni pana zaidi.
Baadhi ya wanawake wametuambia kwamba kibamia sio sababu pekee ya kutofika kileleni.
However, kila mwanamke ameumbwa na uwezo wa kufika kileleni na kupiga bao za kutosha. Njia na historia za maisha yake ndio yatamfanya either awe mwepesi kumwaga au awe mzito. Na pia mwanaume una nafasi kubwa sana ya kucheza katika kutambua ikiwa mwanamke wako anafika au hafiki, na pia nini kinasababisha asifike?