MDADA: UTAJUAJE KUWA WEWE NI CHANGUDOA/MALAYA ? SOMA HAPA… - RAHA ZA KITANDANI

MDADA: UTAJUAJE KUWA WEWE NI CHANGUDOA/MALAYA ? SOMA HAPA…


Wewe kama hujaolewa halafu unapanua miguu kwa jamaa ambae sio mume wako, yani boyfriend au mchumba kwa minajili ya kujipatia hela, ujue wewe ni changudoa. Huna tofauti na wale wanaosimama usiku kujiuza.Japokuwa wewe husimami usiku lakini jijue kuwa na wewe ni changudoa kwasababu wote mnapewa pesa baada ya tendo. Hatakama hupewi mara tu baada ya tendo kama wanavyofanya changudoa wanaosimama barabarani, lakini unapewa pesa za matumizi na mtu ambaye si mume wako kisha ukampanulia miguu, jua wewe ni changudoa au tunaweza kukuita changudoa mwenye kiwango.Kwa wale dada zangu ambao bado hawajaingia katika hii biashara nawashauri kufunga miguu yenu msije kujiingiza katika hii bihashara. Kwasababu mbali na kumchukiza Mungu unakuwa unajishusha thamani wewe mwenyewe. Halafu uzuri wake ukifanya hivi huwezi ukaja kukosa wa kukuoa dada.