Kunyonyana ulimi au kula mate Kunasababisha kuambukiza VVU? - RAHA ZA KITANDANI

Kunyonyana ulimi au kula mate Kunasababisha kuambukiza VVU?


Swali: 
Je kunyonyana ulimi au kula mate kunaweza kuambukiza VVU?

Jibu:
Njia ya mdomo inaweza kuchangia mtu kupata VVU kama mtu atakutana na mtu mwenye VVU mwenye vidonda au michubuko mdomoni nawe pia ukawa una michubuko au vidondamdomoni, ili kuweza kupata VVU kwa njia ya mate inabidi kulambamate lita 2 jambo ambalo ni gumu