DALILI 8 ZA MWANAUME AMBAE KAMWE HATAACHA KUKUPENDA. - RAHA ZA KITANDANI

DALILI 8 ZA MWANAUME AMBAE KAMWE HATAACHA KUKUPENDA.


AA-broom DALILI 8 ZA MWANAUME AMBAE KAMWE HATAACHA KUKUPENDA.
Wanaume wengi huwa na maneno mengi mabaya,aina ya wanaume ambao  hawafuati yafuatayo , hata hivyo kwa mwanaume ambaye hufuata taratibu nzuri za ukweli, wakati anapopata mtu huwa anajua kuwa ataishi nae maisha yake yote, atafanya kazi kwa bidii  kwa ajiliya kuwaweka karibu yake muda wote, kama una mwanaume wa aina hio anayefanana na  dalili hizi zifuatazo, ujue ni  milinzi wa maisha yako.
1.Anajituma Kwa Ajili Yako Na Mahusiano yenu Pamoja.
husband-and-wife-kissing DALILI 8 ZA MWANAUME AMBAE KAMWE HATAACHA KUKUPENDA.
Kuwa hapo muda wote ni rahisi sana, ila kuwepo pale kwa wakati mgumu ndio muhimu  kushikana pamoja, mwanaume wa ukweli hakimbii matatizo, na huwa hawachukulie   kirahisi pale mwenzake anapokuwa na hali mbaya hukaa bega kwa bega, wanaelewa umuhimu wa mahusiano ni nini, na hawaachi kitu chochote kiingilie kati.
2.Haepuki Matatizo.
ba312f8b0d5fd6a2f0f4942c9a771b67 DALILI 8 ZA MWANAUME AMBAE KAMWE HATAACHA KUKUPENDA.
Kama nilivyosema, mwanaume wa ukweli hakimbii pale mambo yanapokuwa magumu, na kuharibika, na pia  haondoi hisia zake kwa mke wake hata kama kuna tatizo gani la kutoelewana mpaka arekebishe. Ama ikiwa limemsumbua  ndani ya mahusiano yake huwa analileta kwa hekima , kwa uangalifu na kwa heshima. Anakuwa huru anapoongelea tatizo aliloliona , na anatafuta njia ya kulitatua. Anaelewa hata kama lina ukubwa gani  haliwezi kuharibu mahusiano.hivi ndivyo afanyavyo.
3.Husikiliza Hata Vitu vidogo Tu.
a6c8a36fa2907a1f1e8b7a83f8fc01fb DALILI 8 ZA MWANAUME AMBAE KAMWE HATAACHA KUKUPENDA.
Angekuwa anaishi peke yake , asingejali hata kama hakupata chakula kizuri, kwa sababu hakuna mtu wa kumpikia. Lakini anaelewa kuwa unamjali na kumpikia na kumfanyia vitu vingi ambavyo yeye  wakati mwingine alikuwa hawezi, anaamua kutafuta muda wa kukusaidia kazi  siku akiwa nyumbani, kama kupika na kufua na wakati mwingine kufanya hata usafi wa nyumba na anafurahia kufanya hivyo. Hatakaa tu kusoma gazeti na kuangalia Tv. wote mtafurahia kuwa pamoja kila mahali.na atakuachia  simu yake uwe nayo upendavyo.
4.Ni mwenye Hekima na yuko smart.
568e908f11d557ca547c396cc5c52eb7 DALILI 8 ZA MWANAUME AMBAE KAMWE HATAACHA KUKUPENDA.
Nitakupa faida  za kuona kuwa umepata mwanaume smart. Lakini ukweli  ndio unaompima mwanaume mwenye uwelewa na ufahamu jinsi alivyo makini, lakini anafanya kwa hekima yake. Huona kitu kwa kutazama hali ya mtu kwa muda huo,na yuko tayari kukushauri kwa hali yoyote ile unayopitia. Na hatakuacha usononeke, anavaa viatu vyako ili aone ni wapi unapoumia, na anawaambia watoto wako maneno ya hekima ya kuwatuliza endapo kulikuwepo tatizo.
5.Anataka Ujisikie Vizuri Kila wakati.
a8f75d8dfc6dbda7a3463b9ae021080b DALILI 8 ZA MWANAUME AMBAE KAMWE HATAACHA KUKUPENDA.
Huwa anafikiria kuwa wewe ni mzuri ,kwa nini  awe na wewe kama hataweza? Lakini haitoshi kufikiria  yeye kufikiria hivyo, pia hufanya zaidi ili   ujitambue kuwa wewe ni mzuri, wala sio kwa maneno ya kawaida ya kumhakikishia, hata pale unapokuwa na hali mbaya anahakikisha uko vizuri, atakuja na njia za kukufanya ujisikie vizuri ndani na nje, kutokana na hali uliokuwa nayo kwa muda huo. Atafanya vyovyote awezavyo ilin uelewe kuwa anakuona  kila kitu na kila siku.
6.Anabeba Shida zako Kama Zake.
d8f9b4d9358512a4fe6ba972a79b32de DALILI 8 ZA MWANAUME AMBAE KAMWE HATAACHA KUKUPENDA.
Kama kuna kitu kinakusumbua, kitamsumbua nae pia, atachukua hayo matatizo na kujaribu kuyatatua au kuondoa maumivu yake  kiasi awezavyo. Shida zako humweka macho usiku, na wala haimsumbui,kinachomsumbua yeye ni kwa nini hawezi kutatua tatizo lililopo mbele  yako. Hali hii inapokuja hujitahidi  kusimama nalo haijalishi lina ugumu gani.
7.Hucheka  Unapokosea.
couple-playing-in-grass-350-1 DALILI 8 ZA MWANAUME AMBAE KAMWE HATAACHA KUKUPENDA.
Anaelewa kila mtu hufanya ma.kosa,  na yuko tayari muda wowote kulitatua kwa urahisi, ukisema kitu kinachomuudhi, anaamini hukuwa na maana hio, yeye hucheka  hata kama wewe ulimaansha kidogo. Ukimwangusha, kwa mfano alikuwa anatarajia uwahi nyumbani  kwa ajili yake, hawezi kushikilia hicho kitu atasamehe mara moja. Hujali na ni  sensitive. Hatakufanya ujisikie vibaya kwa sababu ataumiza hisia zake.
8.Huwa mwangalifu na makosa yake.
olderblackmanandwife DALILI 8 ZA MWANAUME AMBAE KAMWE HATAACHA KUKUPENDA.
Kwa upande mwingine, chochote kinachokuumiza  atakipima na kukibeba mabegani mwake kwa muda huanza kujipiga mwenyewe kuhusia na hilo  , lakini anapokusababishia wewe maumivu, atafanya kila njia ya kujirekebisha hatakuambia jambo lolote ili kukuweka sawa kwa unafiki, au aseme kuwa alikuwa anadanganya, anakuelewa vizuri, anafahamu kabisa kitu gani amefanya kukudhuru , lakini  hataweza kamwe kwenye ndoto ya miaka milioni  namna hio.