AINA 3 ZA USALITI UNAOHARIBU MAHUSIANO YAKO: - RAHA ZA KITANDANI

AINA 3 ZA USALITI UNAOHARIBU MAHUSIANO YAKO:



Usaliti ni usaliti tu  si ndio? Namaanisha , kama umechukua jukumu la kuwa na mtu mmoja na halafu unavunja wewe ni msaliti. Na hicho ulichofanya na nani uliefanya nae, na ulijisikiaje ulipokuwa ukifanya hivyo haikuwa tatizo?
Vizuri, ndio na hapana.
Kuna categories 3 za uzinzi na usaliti  wa mtu wako unaweza au usiweze kuleta maumivu yanayotokana na aina ya usaliti.
Inachanganya.? Kama ni hivyo soma hii.
1.Majaribio.
Kujaribu ni kufanya kweli, unasema unajaribu kusaliti ndio umefanya kweli bila ya hisia  kuwepo. Huko ndio kutaka kujua tofauti ya kule na huku, hupati kitu chochote na unarudi nyumbani. Kwa kawaida  wasaliti hasa wale  waliobobea , huwa hata hawaoni kama wanasaliti, wao huona kawaida tu kwa sababu hakuna connection yeyote iliopo pale.
Katika akili zao  huona wanachofanya hakiharibu mahusiano yao ya kudumu, hufanya kwa ajili ya relaxation, fun au kuondoa stress.
2.Inatokea mara kwa mara  kupokea wito.
Wasaliti wengine wana watu wao parmanent au wanao wengi, wale wanaowaona  mara chache na  ni pale tu wanapokuta  ghafla. Huenda ikawa kwenye sherehe au  kwenye dinner na mara huenda kufanya ngono. Hawa  walio nao hufanana tabia lakini hawana mapenzi , kwa maneno mengine ni marafiki na  wazuri kwa sex lakini  hawana connection hata kidogo ya mapenzi yenye hisia.
Ndio,  mahusiano haya  huendelea lakini ni ya kawaida, huwa yapo kwenye ngono zaidi  kuliko kitu  kingine. Ukaribu mara zote, marafiki hawa wote  huwa  wanajilinda kwa sababu wote wana ndoa zao au wapenzi wao . wa muda mrefu.
3.Mambo yanayoshikamana kihisia.
Lakini vitu hizi vikienda kwa muda mrefu zaidi,  italeta hisia  za ndani na kuanza kupendana, itakuwa vigumu kuacha kuonana na kuwa pamoja, watu hawa wataanza kufanya vitu kwa pamoja, wanakuwa watu wazuri kwa  wengine na kutengeneza marafiki kila waendako, watakuwa hawana woga tena kwa sababu wote wanakuwa na jukumu la kuwa pamoja katika mahusiano.
Hivi kuna msaliti mbaya zaidi kuliko mwingine?
Usaliti wa aina yoyote unaumiza, hasa mtu akijua kuwa wanafanya  tendo la ndoa na mtu mwingine , hapo ndio kabisa maumivu makali. Kwa sababu alikuwa muongo na alificha siri kwa muda mrefu wakati akiaminiwa
1..Nani unafanya nae usaliti.
o-CHEATING-facebook-1024x512 AINA 3 ZA USALITI UNAOHARIBU MAHUSIANO YAKO:
Unaweza kuwa unalala na rafiki wa mkeo, ni usaliti mkubwa  zaidi, ni bora hata ungelala na adui mwingine kabisa nisiemjua. Kama unatoka na mtu ambae mkeo anajua hilo ni tatizo kubwa mara mbili. Na kama huyo mtu alikuwa anaaminiwa   usaliti unakuwa mara mbili zaidi tena. Kila layer ya muungano unaongeza maumivu  kwa mwenza wako.
2.Kwa nini msaliti hawezi kujificha.
Cheating-1 AINA 3 ZA USALITI UNAOHARIBU MAHUSIANO YAKO:
Kama unamcheat mwenza wako  halafu ukagundulika na magonjwa ya zinaa, kwa sababu ni wewe mtu  wa kufanya nae sex hakuna mwingine, na hilo wewe unalijua, halafu unaanza kumwambia  , Mpenzi samahani sana , kwa kuwa nilipokuwa safari mwezi uliopita nililala na mwanamke mmoja nlikutana nae hotelini, na nilihisi  kitu kibaya baada ya hapo.na siwezi kutunza hii  siri kwako.
3.Ilichukua Muda Gani.
Kama kweli umecheat mara moja , na umekuwa mkweli , mwenza wako anaweza kukusamehe hilo .lakini kama umekuwa ukimsaliti kwa muda wa mwaka na umekuwa ukiongopa na kutunza siri kuhusiana na tabia yako kwa muda huo wote, mwenza wako kukuamini na  kuamini tena mahusiano yenu ni ngumu .
4.Hatua Za Muunganiko Wa Hisia.
Kwa kuongea ukweli , pindi hisia zinapokutana, mambo haya huleta maumivu makali kwa huyo uliemsaliti kuliko hata ya usiku mmoja, hii ni kwa sababu  wakati mambo haya ya usaliti yanafanyika , vitu vingi vilitokea katika mahusiano yao .
Mwenza anapogundua kuwa umekuwa ukilala na mtu mwingine kwa muda huo wote atashangaa, maana muda wote ule amekuwa akimwambia anampenda na anawapenda watoto wao na maisha yao pamoja kumbe hakuwa anamaanisha. Yote ilikuwa ni uongo.
Kwa hio kama unavyoona kuna factors nyingi sana zinazoweza kufanya sex iwe  kama ni uzinzi Mbaya. Ndio hivyo tunasema usaliti wa aina yoyote  unaumiza. Na sio kusema tu kwamba  aina ya sex ndio inaudhi, bali ni kudanganya na kutunza siri kwa muda huo wote .
Katika kuponya maumivu haya , watu waache kujaribu kutafuta tofauti, hakuna cha tofauti ,  acha kucheat, uwe mwaminifu kwa mwenza wako.♦