JUA CHANZO CHA MATATIZO YA NGUVU ZA KIUME - RAHA ZA KITANDANI

JUA CHANZO CHA MATATIZO YA NGUVU ZA KIUME



Tatizo la nguvu za kiume limekuwa sugu kwa wanaume wengi,katika bara la afrika na dunia kwa uzima,tatizo hili kwa sasa limepata kasi kiasi cha kuanza kuwasumbua mpaka vijana wadogo kitu ambacho hakikuwepo hapo mwanzo
NININI TATIZO LA NGUVU ZA KIUME
Tatizo la nguvu za kiume,ni kitendo cha uume kushindwa kusimama,vizuri wakati wa kufanya tendo la ndoa,hii hutokana mara nyingi na mishipa midogo iliyopo katika uume kuregea,
Mishipa hyo ndiyo huiwezesha uume kusimama vizuri na hata kufanya tendo kwa muda mrefu.
ATHARI ZA UGONJWA HUU
Ugonjwa huu una athari nyingi katika ngazi ya familia na hata jamii kwa ujumla,kwani wengi wamejikuta wakiachwa au wake zao kutoka nje ya ndoa na hata kudharauliwa kutokana na kutokuwa waridhisha wenzi wao.
2,KIAFYA
Wengi wetu huwa hatujui au kutaka kujua tatizo hili likiendelea huwa lina athari gani kwa mwenye nalo.Tatizo hili ni kama mengine kama malaria na maradhi mengine ambayo yasiposhughulikiwa hukua na kuleta madhara mengine makubwa zaidi.Kwatatizo la nguvu za kiume kama hutopenda au kuamua kulishughulikia,utakuwa kwenye hatari kubwa sana hapo baadae ya kuwa hanithi(hausimamishi)tatizo ambalo ni gumu sana kutibika,hii inatokana na ile mishipa yako ya uume kufeli kabisa baada ya kufa pole pole
2,Tatizo la ugumba,wengi ambao wapo kwenye tatizo hili wapo kwenye hatari kubwa sana yakuwa wagumba kwa hapo baadae na hii ni hatari sana kwa wale vijana ambao bado wanapigana na maisha na ambao hawako tayari kuanzisha familia kwa sasa,