Je Mwanamke Unafahamu Mbinu ya Kudumisha Penzi Kwa Mumeo na Kumkamata Kisawa sawa ? Soma Hapa
April 15, 2019
Edit
LEO nimependa kuongelea kuhusu namna ya kudumisha penzi iwapo wewe umeolewa hasa kwa kina mama ambao penzi lao ninaelekea kuyeyuka. Na bila jitihada za hapa na pale penzi lako na mumeo linaweza kunyauka kabisa!!! Na ukumbuke wahenga walisema PENZI ni MAUA kuna kuchanua na kunyauka. Na penzi linaponyauka huwa yanatokea maumivu makali sana ndani ya moyo, maumivu ambayo hayana kifani. Sasa ufanye nini ili penzi lako lisinyauke? Zingatia yafatayo:
i) Hakikisha unakuwa karibu na mumeo
ii) Mumeo akirudi kutoka safarini au kazini mupokee kwwa mabusu na upendo wa hali ya juu
iii) Kama utakuwa na nafasi jitahidi kumuandikia msg mumeo za upendo na kumfariji
iv) Na mwisho kumbuka kuwa munapokuwa katika sita kwa sita jitahidi kutoa sauti ya mahaba huku ukijitahidi sana kumpa penzi kutumia ujanja wako, na kama atamaliza mwambie "POLE MUME WANGU"