Je, hii ni kweli kwa wale wasichana wasiojibu meseji WhatsApp!!!?🤣🤣
April 15, 2019
Edit
![Related image](https://www.ghafla.com/tz/wp-content/uploads/sites/3/2017/09/jokate-6.jpg)
Mwanaume mwenzangu ukiona unamtext msg msichana WhatsApp kaisoma hajajibu, umetuma ya pili kasoma hajajibu, ukatuma ya tatu hajajibu mmmmmh😨😨 hapo ujue mwenzio kaangalia kwenye profile yako, kakagua picha weee mwishoni akajisemea tu "Huyu.mkaka hapana kwa kweli"🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🏃♂🏃♂🏃♂🏃♂🏃♂🏃♂