ZIJUE SIFA 15 ZA MWANAUME ANAEPENDWA NA MWANAMKE
October 01, 2019
Edit
Pengine watu wengi wamekuwa wakitafuta ni jinsi gani wanaweza kupendwa na wasichana au wanawake. Niwazi kabisa kila mwanamke anachaguo lake kwa mwanaume ampendae.Huenda ukawa unavigezo kibao lakini akapenda mweyevigezo vichache. Vitafute vigezo hivi 15 ambavyo wasichana wengi hupenda kutoka kwa mwanaume ili nawe uwe miongoni mwa wanaume wenye kupendwa. Jifunze kupitia hapa
1. Mcheshi
2. Kujiamini
3. Mwenye utashi
4. Anayetoa msaada unapohitajika
5. Anaetunza siri
6. Mwenye kujithamini
7. Mwenye malengo / makini
3. Mwenye utashi
4. Anayetoa msaada unapohitajika
5. Anaetunza siri
6. Mwenye kujithamini
7. Mwenye malengo / makini
8. Mwenye mawazo mapana
9. AliyeMuwazi na mkweli
10. Anayeridhika
11. Aliyeshupavu na jasiri
12. Mwenyehuruma
13. Anaesamehe
14. Mwenye Hadhi na heshima
15. Hisia ya uadilifu.