Kwa nini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio mkubwa hatupati waume wa kutuoa ? - RAHA ZA KITANDANI

Kwa nini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio mkubwa hatupati waume wa kutuoa ?



1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi 

hatuolewi: 
 (a)Miili yetu imepitwa na wakati, 
(b)Labda 

wanadhani tutashindwa mechi. 


2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?  

(a)Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba, 

(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.  

NALILETA MEZANI TULIJADILI. Nimefanya uchunguzi 

yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake 

wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana 

kuolewa, kwa nini?