UNATAKA KUJARIBU MAHUSIANO YALIO WAZI? MAMBO 4 UNAHITAJI KUFAHAMU KABLA - RAHA ZA KITANDANI

UNATAKA KUJARIBU MAHUSIANO YALIO WAZI? MAMBO 4 UNAHITAJI KUFAHAMU KABLA



Mahusiano yalio wazi yalikuwepo na hata sasa yapo kwa baadhi ya watu wengi , Lakini kwa jinsi tunavyoongea kuhusu wao , na ukweli unaowahusu wao  ni mwendelezo wa yaliopo. Kwa kuongezeka kwa haya mahusiano na sasa tupo katika masuala ya sex
Watu wengi sasa wanaonyesha mtindo mbadala wa mahusiano  kuliko yale yaliopita zamani.
Mahusiano haya kwa kweli yatakuwa  hayana sababu kwako kama wewe  unapenda kuwa na uhuru wa kutosha. Na utachoka kwa urahisi sana, kwa hio kuwa kwenye mahusiano haya huenda  ni kitu fulani ambacho ungependa,  na unapenda. Lakini  ukiendelea kupenda hicho,  zitakuja changamoto  ambazo hutaweza kukabiliana nazo.
Kwa hio kabla ya kuamua  kuingia katika aina hii ya mahusiano , Ni vizuri  kuangalia na kuona kama  jinsi gani utajisikia kuhusu  kila kitu kinapokuja kwenye maamuzi.
1.Mahusiano haya yanahitaji muda. Muda mwingi wa kutosha.
DSC4646-1024x683 UNATAKA KUJARIBU MAHUSIANO YALIO WAZI? MAMBO 4 UNAHITAJI KUFAHAMU KABLA
Kama unatoka na mtu zaidi ya mmoja ,  itakuchukua muda mwingi zaidi ya ule muda ambao ulikuwa na mmoja. Mahusiano yalio wazi huchukua muda,  itakupelekea kuwa na wiki moja hadi tatu kumaliza mzunguko. Kujaribu kupanga muda  namna ya  yupi utatoka naye na yupi utamwacha.  Na unahiaji kuwa na muda wa kutosha na kila mwenza . Au kuwepo hapo kwa ajili yao wote.  Ili kutafuta njia ya kuwafahamu wote wawili–  yote hio ni kutaka kuchanganyikiwa  kwenye mpango wako, Kitu ambacho pengine   already packed.
2.Itakuwa ni mchezo wa kuigiza–na pengine zaidi
Mahusiano haya mara nyingi hayana usalama, na huleta maumivu. Utakuwa na wivu. Utajaribu  kutaka kuwatawala na huwezi, utapata uzoefu kwa yote. Na kwa sababu ni mahusiano yalio wazi  utakosa ile hali ya kudeka ile hali ya utoto haitakuwepo na kukosa usalama.
Na kuachilia hilo inakuwa ni ngumu kwa sababu ni ya wazi,  utakuwa na sababu ya kuchanganyikiwa . kuwa na mahusiano yalio wazi kwa namna hii , unatakiwa kuwa makini  na kukabiliana na changamoto  ambazo utakutana nazo  ambazo ni za kawaida katika aina hii ya mahusiano.
Na kama utaamua kuwa na wenza watatu  tofauti,  utahitaji  muda zaidi ya mara tatu na mchezo wa kuigiza  ujue kuwa uwe nao  na uwe na uwezo wa kufanya hivyo. Kumbuka ,  Hata wao wanakuwa na hali kama ya kwako. Kitu kikubwa katika  changamoto hii   ndani ya mahusiano haya ni kuwa mtu  mwenye kunyenyekea. Na hapo utashika nafasi ya mioyo yao wote.  Kwa kuwa nao watakuwa wanakutana na changamoto kama za kwako.  Ni safari yenye mageuzi makubwa . ngumu na inahiaji uvumilivu wa kutosha na pia utapata pongezi  kubwa.
3.Inatakiwa kuwa na kiongozi mmoja tu.
Mvutano uliopo  ni msingi wa mahusiano ya ngono ambayo ni  maarufu kati  ya kike na kiume. Na hapo inabidi kuwepo mpango ambao hutaweza kuuvunja kwa sababu yoyote.  Na mwingiliano huo utakuwa mzuri kwenu nyote.
Mwanaume atakuwa ndio kiongozi na mwanamke itabidi kuongozwa. Ni vizuri kama mwanamke atakuwa ametulia , na kumwamini mume wake, na kumwacha awe kiongozi. Kwa kuchukua ushauri wake, na kumwacha afanye maamuzi , na kuwa na mahusiano mazuri na wote.
Kama mwanamke anadate na mume zaidi ya moja,  itakuwa ni tatizo. Itawezekanaje mwanamke mmoja aongozwe na wanaume wawili? Au hata zaidi? Haiwezekani. Atajikuta akijiuliza ni ushauri gani wa kuufuata. Na hio itakuwa ni hatari kubwa kwa mwanaume .
4.Wivu sio changamoto yako kubwa.
Kama unadate na mtu mmoja ni ahisi kuamua kumwacha, lakini kama upo na watu zaidi ya moja , utaachana na wengi .
Lakini sio kila mahusiano, maana yapo mahusiano yanayodumu hata mwisho.Sio rahisi lakini.  Unapokuwa kwenye mahusiano ya wazi ,  unakuwa wazi kufanya chochote.  Utajifunza mengi na   kuwa mwenye kukataliwa na kukataa wengine.
Kuwa mkweli itakusaidia  kuishi vizuri na kuwa mwenye amani.
Kwa hio utaweza kujaribu mahusiano kama haya ya wazi?
Hili ni jambo la mtu binafsi. Mahusiano yalio wazi  kusema kweli sio mazuri kuliko kuwa na mahusiano ya mtu mmoja tu .  Ingawa yote yana changamoto zake , lakini kila changamoto ina njia ya tofauti.
Kwa hio Kumbuka una moyo mmoja , Una uhakika gani kama utaweza kupenda mtu zaidi ya mmoja? Fahamu hilo kwenye maamuzi yako. Usitegemee kila kitu  kuwa sahihi–haitawezekana. Lakini  kama ukiamua kwenda katika mahusiano haya ya wazi  lenga  kukua  katika uzoefu , haijalishi kitu gani kitatokea  itakuwa ni sahihi kwako