Je, Tendo la ndoaLinatakiwa Lichukue Dakika Ngapi?👌👌 - RAHA ZA KITANDANI

Je, Tendo la ndoaLinatakiwa Lichukue Dakika Ngapi?👌👌


Ni muda upi unaotosha kukata kiu ya mwanamme au mwanamke wakati wa Kusex?
Tendo la ndoa ni miongoni mwa njia bora kabisa za kuonesha upendo na mahabba baina ya watu walio katika mahusiano na kuimarisha hisia maridhawa kati yao.
 Hivyo, kila mmoja anatarajia kuwa kiu yake itakatwa wakati wa mahabbat kwa kufikishana kileleni.
Ili kufanikisha hilo, wanandoa wanatakiwa wajue umuhimu wa kuchezeana vya kuhamia kwenye hatua ya pili ya kula nchi.
Hatua hizi za mwanzo kabisa za kuchezeana zinatakiwa zitumie angalau dakika 10 ili kuamsha hisia kwa pande zote na kurefusha muda wa tendo.
Ama kuhusu tendo lenyewe, tafiti mpya zinaonesha kuwa linatakiwa kutumia kati ya dakika 4 mpaka 9.
Muda huo ni muda wa makadirio ya kawaida. Kadiri muda unavyokuwa mrefu zaidi ndivyo unavyomsaidia mwanamke kufika kileleni na kupata mshindo wa tendo.
Tofauti na ilivyo kwa mwanaume, mwanamke anahitaji muda zaidi kufika kileleni. Kwa muktadha huo ninawashauri wanaume kujidhibiti wasiwahi kumwaga na warefushe zaidi muda wa tendo ili waweze kukata kiu za wake zao.
Kumbuka; Uzingatiaji wa kuchezeana pamoja na mbinu za mikao na maandalizi mazuri ni njia maridhawa ya kumfanya mkeo afike kileleni mapema.