Wanawake Tujitahidi Tuwape Waume zetu Mambo Matamu Kama Tuliyokuwa Tunawapa Kabla Hawajatuoa - RAHA ZA KITANDANI

Wanawake Tujitahidi Tuwape Waume zetu Mambo Matamu Kama Tuliyokuwa Tunawapa Kabla Hawajatuoa


Unakumbuka enzi zile unaitwa girl friend, fiancee na majina kedekede matamu matamu? Unakumbuka sex life ilivokua amazing, purukushani kitanda kinakoma raha twenty four seven, ukiguswa tu dawasco pwaaaaaaa akikukiss hoi tu, bilinge bilinge jikoni, sebleni, bafuni, kibarazani, hata makochi tu ni mashahidi ile meza pale dining ingeweza kusimulia. Unajituma mwanamke unajituma si kitoto, roll pop na nanii zake unakula kama huna akili nzuri.


Zikigusana ni inakua kama umefungwa mota kiuno kinazunguka nyuzi 360, utapitisha mkono huku hivi kugusa gusa nanii zile zikinanii, mastaili sasa salaaaleee enzi hizo kifo cha mende hukijui ni nini.
Haukuwahi kuwa katika silent mode hata siku moja, ulikua na milio mingi kama kinokia cha tochi (japo muda mwingine ni kilio cha wizi, men please mtusamehe) ukimwaga sifa kibao tena kwa kiingereza kiswahili kinajifichaga muda huo “ooohh I like it ooh yes, so sweet bla bla bla nae akikusindikiza na kibao cha huku hivi pwaaa. My ladies hivo vitu vinafurahisha again vinafurahishaaa na nna uhakika vilihusika sana kumfanya jamaa akuweke katika list yake ili ajifaidie.
Baada ya mabadiliko from fiancee to wife hapa ndipo shida ilipo jamaa anajua ndo kakuweka ndani ajilie vizuri kumbe we umeingia ndani huduma zimeisha, sex ndo tatizo kuliko yote ni kifo cha mende masika hadi kiangazi, mambo ya kukatika hakunaga ni kitandani kila siku ya kalenda ni silent mode hadi siku ya talaka. Sio fair jamani sio fair, ni kweli tunachoka, tunamajukumu, tunalea tunashindwa kufanya kwa uhuru kama zamani, tunawazoea waume mshawasha unapungua ila tujitahidi sio mbaya hata katika zile mara mbili za wiki ukamrudisha enzi uboyfriend na ufiance mpe vile vitu vizuri vizuri vitamu vitamu alikuaga akipata, mara moja moja watoto wakatembee umpigie zile kelele ni kimya kimya kama vile hausikii utamu!!!
Kila siku baba wa watu aombe ombe kama anaomba nini sijui, mara hutaki kuremove nguo we dada wewe kukiss hakunaga tena, huko migodini hakuzamiki tena, ni kimoja tu cha staili ya serikali kifo cha mende imetoka sio poa, wenzi wetu wanahitaji sana hizo na inawezekana uhitaji wao wanatuzidi, tuwape tuwaburudishe, usimnyime Mme kama hauna sababu ya msingi hata kama umechoka kidogo tu hata kichwa…na nyie wanaume!!! Nyie wanaume mjiangalie oooh!!!!
Nlikukua nawakumbusha tu,