Mpenzi wako ana hasira za kijinga? Cheki experience za wenzako na dawa yake. - RAHA ZA KITANDANI

Mpenzi wako ana hasira za kijinga? Cheki experience za wenzako na dawa yake.


Kukwazana katika mahusiano ni kitu cha kawaida sana. Wengine wanasema ni afadhali wale wanaokwazana kila wakati kwa kuwa wanatafuta namna bora ya kuishi poa (Ila isiwe too much)
Katika survey fupi iliyofanywa Dar es salaam, imedhihirisha kwamba at least vijana wengi wamwahi kujikuta kwenye hali ya kukasirika tu hata bila sababu wanapokuwa na wapenzi wao and this is Bulcrap!

Katika kipindi cha Shujaaz radio show kinachoongozwa na DJTee255 na H2K, wameizungumzia hii.


Mpenzi wako ana hasira za kijinga? Cheki experience za wenzako na dawa ya

Yahaya Ramadhan wa ndulungu iramba singida tz, Okey # HATKUCHORI mmmmh binafsi imenitokea marakibao nakubuka kunamoja hv 2017 mwezi 7 aliniwakia kinoma baada kumtuma mtoto moja hv kama ujumbe wakumuita alipokuja aliniwakia nikambembeleza we mwisho maamzi alichukua alinichana hatua nyingi kamwambia bby mbn hv kaniambia ukishindwa kutembea pita hv aisee tangu sik hy alinifanya niwe naujasiri flan hv wakumuwakia anipendae kimtindo
Ally Chanyegera Chanyegera tokea moshi majengo” 93.5 eafm aisee mim sijawai kugombana mpenz wang sisi ni rahat tunanogeshana”
Noel William noel wa mmu * binafsi ya kwangu yamesha nikuta hayo yote * kama kukutana nae nijikuta siku imeniendea kombo kwa kila kitu na nisinge kuwa na mahusiano nae tayali yakimwili ningemwacha lakini ndo ivo tena sasa * kanifanya kufuta namba za kila mtu katika simu yangu * nakujichukia binafisi ya kwangu mwenyewe * sababu zinazo pelekeani aina yamtu husika nasio vinginevo kama mtu kukujibu atakavo #funguka123
Grace Pita Bitiaza daniel kutoka shy town!mimi kwngu najisikia vibaya sana pale demu umempigia cmu atakusema jambo lolote anashindwa hata kukuambia,hila ukikaa kimya sanaa anakuambia mbona kmya sana nachukia sana yaani.
Everliny Ruben Kulwa MM KILA SIKU NIKIJISIKIA NATAMANI UGOMVI NALIANZISHA NAFUKUA MAKABULI BC HASIRA ZIKIISHA NAOMBA MSAMAA MAISHA YANAENDELEA
Ezekiel Mwabaleja from green city-kyela(zero brain)#uyo ujue apend kuona mda mwng mnaongea badala ya vtendo apo njia ya kutatua tatzo hilo inatakiwa kila mkionana mnagonga mechi.

So haya ndio mawazo ya vijana wa Tanzania kuhusu boyfriend anayekasirika sana hovyo anapokuwa na asipokuwa nacho pia