Labia elongation: Hii ndio sababu inayofanya wanawake wa Rwanda wakuze genitalia zao
July 19, 2019
Edit
Stori ya mwanamke kutoka Rwanda alianza kusimulia jinsi siku yake ya kwanza kupata menstruation ilivyokua
“Sikujua ni nini cha kufanya kwa sababu hakuna aliyewahi kuniambia kuhusu hali hii. Rafiki wa karibu wa mama yangu aliniita ndani na kufunga mlango, ndipo alipoanza kunielezea kuwa nimekua na kwamba kuna majukumu ninalazimika kuyafanya”
Alinielezea kuhusu utamaduni wa kwetu na umuhimu wa mwanamke kuwa amejiandaa vizuri kwa ajili ya ndoa na mume wake.
Utamaduni huu umekuwa kwa miaka mingi kwetu, na huko zamani wasichana walikua wakipelekwa porini na kufanya kazi hi ya uvutaji wa sehemu ya pembeni ya uke na kuhakikisha imekuwa kirefu.
Mama huyu bila huruma aliniambia kuwa ninatakiwa kushika mashavu ya sehemu zangu na kuyavuta, huku nikipaka mafuta maalum kwa ajili ya kufanya sehemu hizi ziwe zinashikika kwa urahisi”
Nchini Rwanda utamaduni huu unafanyika kwa mantiki moja tu ya kumfanya mwanamke apate raha zaidi pindi anapo olewa. Rwanda ndio nchi pekee Africa ambayo imehakikisha inaweka utamaduni wa kumfanya mwanamke aridhike wakati wa kufanya mapenzi.
Utamaduni huu unaifanya sehemu ya mwanamke iwe imetokelezea vizuri na ni rahisi kufikika na kuwa sensitive zaidi.
Mwanaume analazimika kumfanya mwanamke afikie kilele na ndio maana katika harusi nyingi za Wanyarwanda, mwanamke hupewa kiji capet kidogo kwa ajili ya kutandika kitandani wakati wa kwangwaru maana kileleni ni lazima.
Jinsi inavyovutwa (HOW ITS DONE)
Msichana anapofikia umri wa kuvunja ungo hupewa maelekezo ya kuvuta nyeti zake kila siku kwa at least dakika kumi huku akiwa amepaka majani special ambayo husaidia sehemu husika kuvutika na kurefuka.
Inasemekana baadhi ya Wanawake huendelea kuvuta nyeti zao hata wakiwa katika ndoa ili tu kuhakikisha mzee hatumiii muda mrefu sana na nguvu kumfikisha kileleni.
Taarifa zinaonesha kwamba utamaduni huu japo sio mzuri sana, lakini una faida zake na pia hufanyika kwenye nchi kama Zimbabwe, South Africa nk.