Guys: Akikufanyia haya mambo, basi huyo mrembo ameamua kukutunuku vituvitu. - RAHA ZA KITANDANI

Guys: Akikufanyia haya mambo, basi huyo mrembo ameamua kukutunuku vituvitu.


Atakuruhusu kukutana nae kona kona

Msichana ambae amekupa nafasi na pengine anakualika kitandani kinamna, atakuruhusu umualike sehemu ambayo anajua mtakuwa peke yenu tu (faragha).
Sehemu kama vyumba vya hoteli ni baadhi tu ya maeneo ambayo hatakataa kuja.
Lakini wakati mwingine unaweza ukawa ni mtego kwako ili uoneshe kiwango chako cha uborongaji, so cheza vizuri.
Japo asilimia kubwa ni “AMEKUBALI” asilimia ndogo sana inaweza kuwa ni mtego au magumashi.

Ataulizia kuhusu ratiba na logistics

Kama ukiona msichana hana habari kabisa na muda wa tukio wala hayupo curious kuuliza in details mambo yanayokwenda kutokea mnapoenda au mnaenda sehemu gani mnabeba nini mtatumia usafiri gani, pengine hayuko box.
Lakini ukiona amekuwa mdadisi zaidi, ataulizia vitu vingi kuhusu ratiba na eneo mnaloenda. Atatataka kujipima iwapo mtaspend usiku mzima pamoja itakuwaje.
Sasa bana, kama utaona anaanza kulizia
“Kwani tutalala huko?” Brother ujue mambo yame-cotton fire. Kaa mikao.

Atafaya jitihada za kukusogeza karibu

Kwa mrembo ambaye unamfukuzia halafu hajawahi hata kukualika chai ya whatsapp au SMS, tafadhali pitia mikoba pengine kwenye maisha yake sipo mahala pako.
Ila nisikukatishe tamaa kwenye hili. Zipo sababu zinaweza kumfanya msichana asikualike popote wala asikuongeleshe lakini unakuta tayari ameshakukubalia ni suala la muda tu.
Ila ukishaona mrembo ameanza kuwa confortable na wewe kwa sanana anakutupia mialiko ya kuwafanya muwe pamoja mara nyingi ujue umeshapita kwenye machujio mengi, unakaribia reward siku sio nyingi.
Wakati kama huu mialiko ya kwenda kwake, na sexual cues zitakuwa ni mambo za kawaida.

Ataanza ku sexting

Hatakasirika na pengine atakuwa wa kwanza kuchart na wewe suggestively.
Imagination turns girls on haraka sana, hivyo ukiona msichana ana sexting na wewe mpaka usiku wa manane… kaa macho pengine anapitia CV yako kwa mara ya mwisho kabla ta kukubariki.
Msichana aliyekwisha amua kukupa tunda hatakukorofisha na text za kijinga bali atakuvutia na kukusemesha.

Mwanamke au msichana ni biandamu delicate sana kwenye hisia, kitu ambacho ni tofauti sana na mwanaume. Angalia sana mtu uliye nae anapendelea kufanya nini na ujaribu kusoma alama za nyakati.
Ni vizuri ukijua vile ambavyo mtu unayemtaka anavyoweza ku-react na pia kujipanga. Hizi tips sio scientifically proof of these stunts and behavior utakazo kutana nazo. Tumia akili yako zaidi maana kila mke na vibe yake.