Ukiona Dalili Hizi Jua Kuwa Kwa 100% Mpenzi Wako/ Mke Wako Anakusaliti - RAHA ZA KITANDANI

Ukiona Dalili Hizi Jua Kuwa Kwa 100% Mpenzi Wako/ Mke Wako Anakusaliti


Anakuchangamkia wewe mpenzi au mume wake kupita maelezo.
Hakuombi pesa yoyote ile.


  • Kila mara anapenda kukupigia simu na kukupa maneno matamu na ya kimahaba zaidi.
  • Hapendi uwajue ndugu zake wote au marafiki zake wote.
  • Ukiwa nae katika gari hunyamaza au hujifanya yupo busy na mambo yake au simu.
  • Anapenda sana kudadisi kujua unapokea au unapata mshahara kiasi gani huko kibaruani kwako.
  • Hupenda kumsifu sana best friend wako.
  • Mkiwa mnashiriki tendo la ndoa au mnazini huwa hakupi ushirikiano zaidi ya kukutaka uharakishe.
  • Hata upendeze vipi hawezi kukusifia.
  • Ukimpa zawadi au kumfanyia chochote kizuri huwa hakuambii asante na hujifanya yupo busy.
  • Ukiwa nae hujifanya hapendi kabisa stori za kungonoka na mara nyingine hata hukasirika.


Kazi kwako na chukua tahadhari usije ukawa unajitapa au unatamba kumbe unachoreka tu au unasaidiwa na wenzio katika kulisukuma gurudumu la mapenzi.