Niko Njia Panda..Mchumba Wangu Ana Maumbile ya Siri Makubwa sana.... - RAHA ZA KITANDANI

Niko Njia Panda..Mchumba Wangu Ana Maumbile ya Siri Makubwa sana....

 

Nimepata Mchumba japo simpendi sana anataka kunioa.tatizo lake ana uume mkubwa kila tukifanya tendo naumia sana.

Nimejaribu kwa jamaa mwingine mwenye ya kawaidanaona siumii naenjoy sana. Huyu anaenifurahisha kitandani sijui kama ni muoaji au ananichezea tu ila huyu mwenye sehemu kubwa hata nyumbani ameshaenda na wanampenda sana wazazi.

Nimechanganyikiwa sijui nifanyeje japo ana hela na maisha mazuri ila tatizo tu ni maumivu nayopata Naombeni ushauri maana kuolewa nataka ila maumivu sitaki