ππ Jamaa anayependa kuwafanyia watu uhuni leo kapatikana na huyu mdadaππβ
June 29, 2019
Edit
Read More
Mdada alienda super-market kununua
kuku, bahati mbaya kwenye frij
kulikuwa na kuku mmoja tu, muuzaji
akamtoa akamuweka kwenye
mzani, akaonekana ana kilo moja na robo.
Mdada akamuuliza
muuzaji,βHuna mkubwa zaidi?β Muuzaji
akamchukua yule kuku na
kujifanya kamrudisha kwenye friji, halafu
akamtoa tena kwenye friji na
kumrudisha kwenye mzani, safari hii
akagandamiza mzani kwa gumba,
kuku akaonekana ana kilo mbili. Mdada
akasema βDuh afadhali huyu.
mkubwa kidogo, naomba unifungie
nawachukua wote wawiliβ
Mamaaaaa muuzaji sijui atatoa wap kuku wa piliπ
π
π
π
π
π
Hapo ndipo utagundua kwa nini MUWA co TUNDA πΆπ½πΆπ½
ππππππ
πππUsisahau kushare kichekesho hiki.π Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wachekeππππ―β