- RAHA ZA KITANDANI

Baada ya TID kupost instagram Akidai kupigwa na majambazi ambao anadai walimvamia na kumpiga ukweli wote kuhusu tokeo hilo umepatikana baada ya mtu mmoja ambaye aliyekuwepo eneo la tukio kupost clip inayomuonesha Msanii huyo Alyetamba na Kibao cha ZEZE miaka ya 2002.

Katika video hiyo inamuonesha TID akiwa amelewa huku kirushiana maneno na mtu aliyedai amempiga bila makosa.

Huku akiwa kazungukwa na watu mtaani TID bila kujali umaarufu wake alionekana kujitutumua na kurusha ngumi iliyompandisha hasira jamaa huyo aliyeamua kujibu mashambulizi kwa mkongwe huyo.