Angalia huyu mgeni anachokifanya, wageni wengine ni hatari ππ
April 17, 2019
Edit
Hata kama ni Mgeni this is too much.
Mwenyeji: Karibu mgeni karibu ukae,utapenda chai au soda?
Mgeni: Nipe nianze na soda wakati chai inachemka.
Mwenyeji: Utakunywa fanta au sprite?
Mgeni: Nipe fanta wakati sprite inapoa.
Mwenyeji: Utakunywa na keki au mkate?
Mgeni: Nipe keki mkate nitanywea chai ikishachemka.
Mwenyeji: Utapendelea ndiz au machungwa,
Mgeni: Nipe machungwa ndizi ntakula na wali
mchana.
Chezea mgeni ww.!!!

ππππππ
πππUsisahau kushare kichekesho hiki.π Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wachekeππππ―✔