RUDISHA MAHUSIANO HARAKA…MUONE PANGA LA SHABA - RAHA ZA KITANDANI

RUDISHA MAHUSIANO HARAKA…MUONE PANGA LA SHABA


“Wanaume wanatamani sana kuwafikisha wanawake zao kileleni,  lakini hushindwa”. Mara nyingi wanaume hushindwa kabisa kuwasaidia wake zao kufika kileleni. Kama unaona mke wako haridhiki na wewe katika tendo la ndoa,  kuna mambo ya kufanya.
Kwanza kabisa kabla ya yote,  fahamu kwamba,  Wanawake hawawezi kufika kileleni kirahisi kama wafikavyo wanaume. Hivyo unahitaji kumpa muda zaidi mwanamke ili nae afike kileleni.
TENGENEZA MAZINGIRA! Ili kumfanya mwanamke afike kileleni mtengenezee mazingira ya msisimko. Wanawake hawasisimkwi na msisimko wa mwili tu,  wanasisimkwa kiakili na kimwili ;  viwili hivyo lazima viende pamoja. Hivyo,  unatakiwa pia umsisimue kifikra.
Weka mazingira na hali inayovutia kimapenzi.  Kitanda kizuri, godoro zuri na sehemu tulivu na yenye hali inayovutia kimapenzi humfanya ajisikie kupendwa na hutamani alale na wewe,  hata wewe mwenyewe utajisikia starehe.
MCHEZEE! Ili kumfanya mke wako afike kileleni,  kama tulivobainisha hapo juu,  unatakiwa umsisimue zaidi na zaidi. Hakika bila kumsisimua hafiki!  Wanawake wanahitaji kuchezewa muda mrefu kuliko wanaume.
Fahamu jinsi ya kumshika na fahamu sehemu sahihi zinazompa ashki,  maana wanawake hutofautiana. Ukiona anapenda unachofanya,  endelea zaidi.
MUDA! Ni muhimu kwamba ujue ni muda gani yuko tayari kufika kileleni. Usimharakishee!! Muache afurahie jinsi unavyomshika na kumbusu. Muda ukifika utajua tu kuwa sasa yuko tayari. Naam!……ni muda mwafaka!
USIHOFU KUHUSU UKUBWA WA UUME! Katika mada zetu kwenye blogu hii watu wengi wamepiga simu wakitaka njia za kurefusha maumbile ya dhakari zao,  kwa dhana kwamba,  ndio watapata raha zaidi na kuwaridhisha wanandoa wao!
Tatizo ni kwamba kila mwanaume anaona uume wake katika mtazamo kwamba ni mfupi. Basi kama utaona uume wako ni mfupi hakika utakuwa mfupi kweli,  tena mfupi zaidi ya tofauti na unavyofikiria.
Uume ambao haujasimama,  kipimo chake kwa kawaida ni sm 8.5 na sm 10.5 (inchi 3 – 5) kutoka sehemu yake ya awali kabisa.  Hata hivyo,  umbo la kawaida la wastani ni sm 9.5 (inchi 3.75),  lakini kipimo hiki hakina maana sana.
Vipengele vingi vinaweza kusababisha kunywea kwa uume kwa inchi mbili au zaidi. Kwa mfano, hali ya baridi, au kuogelea.  Hivyo,  usihofu kama uume utanywea.
Hata hivyo ni kweli kwamba baadhi ya wanaume wana uume mkubwa na wengi wana uume mdogo,  kama ilivyokwamba baadhi ya wanaume wana miguu mikubwa na wengine wana miguu midogo.
NB: Watu wengi wanadhani kwamba,  watu warefu wana uume mkubwa,  hii si kweli kabisa.
Jambo la kuvutia ni kwamba,  dhakari nyingi sana huwa na ukubwa mmoja pindi zinaposimama. Kitu kimoja ambacho wanaume wengi hawajui ni kwamba, urefu wowote wa uume wako utakavyokuwa,  uke utaendana na urefu huo.