Mwizi kawezwa ki kwelii πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚ - RAHA ZA KITANDANI

Mwizi kawezwa ki kwelii πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚



Et jana usiku mwiz kavunja mlango kwangu akaanza kutafuta kitu kila kona ikabid na mie niamke namuuliza unatafuta nini ananijibu hela ndipo nilipoanza na mie kutafuta nae maana hta hela ya kula Jana sikua nayo alichoka zaid nilipomuliza una uhakika uliweka humu? sipendagi ujinga🚢🏻 na kitu hela mm!