HIVI KATI YA MKE NA MUME--- NANI MWENYE MAPENZI YA KWELI???
July 17, 2019
Edit
Ni swali ambalo huwa najiuliza sana, sipati majibu,,,, KATI YA MKE NA MUME, Ni nani anaekuwa chanzo cha kuvunja uaminifu ndani ya nyumba, Ni nani sio mkweli???,
Baada yakujibu hayo, hebu tuzungumze jamani,,,,,, UTAJUAJE KAMA UPO WEWE PEKE YAKO… kwa huyo uliye nae??? Kuna njia zozote za kufanya ili kuprove kwamba uko peke yako???