Msanii wa Bongo Fleva ameonyesha bado ameshindwa ku move on kutokana na kufiwa na aliekuwa mpenzi wake na boss wa Clouds Media marehemu Ruge Mutahaba. Kupitia Instagram Nandy amepost Nyumba iliyokuwa mwanzoni anajengewa na Ruge Huku pia akionyesha alivyommiss.