Jinsi Ya Kuapproach Mwanamke Ambaye Humjui Kabisa !
April 14, 2019
Edit
Kuongea na mwanamke ambaye humjui ni kama vile kujaribu kuoga na maji baridi.Inakuwa vigumu na inakufanya kuingiwa na kibaridi. Kila wakati unapochukua hatua ya mbele unaskia kama tumbo linakukoroga vile.Lakini kama mwanamume, jinsi ya kuapproach mwanamke ni jambo muhimu la kujua ikija maswala na kudate.Kile ambacho kinachohitaji kwanza kabisa ni kumfanya mwanamke kama huyo akutambue...yaani upate attention kutoka kwake. Hii inakuwa rahisi kwa kutumia mbinu hizi:
1. MwangalieTuseme sahizi uko na marafiki zako ama uko pekeako katika sehemu ambayo ina watu wengi halafu huyo mwanamke unataka kumuaproach yuko karibu na wewe ama sehemu mbali kidogo na wewe. Kile unachohitajika sasa ni umuangalie ili ufanye kumuonyesha kama unajaribu kumuangalia yeye. Jaribu kujifanya unamwuangalia kisirisiri, halafu akijaribu kukuangalia tu unajifanya unashughli nyingine ama unaongea na marafiki zako. Hii itamsisimua kutaka kujua kwa nini unamuangalia hivyo itamfanya na yeye kukuangalia mara kwa mara kama utakuwa ukimwangalia.
2. Mwangalie machoni
4. Mwonyeshe tabasamuBila kupoteza wakati, hii itakuwa ufunguo wa kwako kufungua mlango wako wa kuongea naye kwani atenshen yote yake itakuwa imekuja kwako hivyo lile unalohitajika la kufanya ni kumwonyesha tabasamu. Fanya kusmile kiasi tu ili kuonyesha kuwa wewe umekuwa intrested na yeye muda huyu wote.ONYO: Usijaribu kuweka smile kubwa kwani itaweza kuleta maana nyingine haswa kwa mwanamke ambaye humfahamu kabisa.Hatua hizi hapa juu lazima zote ziwiiane, yaani lazima zifanye kazi. Iwapo katika hatua yoyote hapo juu utamwona mwanamke anakupotezea, basi jua na mapema kuwa hujamridhisha na kile unachohitaji kufanya ni kukimbia tu.Unataka kuzungumza na mwanamke ambaye humfahamu?
Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome